About This Course
Kama sehemu ya mchakato wa kujiunga nasi, moduli hii ya Afya na Usalama inalenga kukupa ujuzi wa msingi wa afya na usalama mahali pa kazi. Kazi tunayofanya inakuhitaji ufikirie kuhusu afya na usalama wako na wa wenzako pia. Hiki ni kipaumbele tunapofanya kazi ndani ya shirika letu. Usalama uanza na wewe